Friday, 8 March 2019

Waziri Mwakyembe aguswa na kifo cha Ephraim Kibonde




Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harisson Mwakyembe ameeleza kusikitishwa na kifo cha Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde aliyefariki siku ya jana. 





0 comments:

Post a Comment