Friday, 8 March 2019

Moto wa Petroli waua watu watano

WATU WATANO ,WANNE WA FAMILIA MOJA WAFARIKI DUNIA KWA MOTO WA PETROLI.



WATU watano wakiwemo wanne wa familia moja wamefariki Dunia baada ya kuungua moto uliosababishwa na mafuta ya Petroli.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi wa Polisi ,,Hamis Issah amethitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba limetokea jana majira ya saa 2:00 za usiku

0 comments:

Post a Comment