Monday, 11 March 2019

Serikali yateketeza samaki wenye sumu kutoka China

Serikali yateketeza samaki wenye sumu kutoka China


Shehena ya samaki wenye sumu kutoka nchini China wateketezwa katika dampo la Pugu Kinyamwezi Jijini Dar Es Salaam.

zoezi hilo lilofanyika leo Machi 11, 2019 limesimamiwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina.

Samaki walioteketezwa wanafikia Tani 11 ambapo inaelezwa thamani yake ni zaidi ya TSh Milioni 60 milioni, ni baada ya kubainika kuwa samaki hao wana kemikali ya Zebaki yenye madhara kwa jamii na inaweza sababisha Saratani na kuharibu uzazi.

0 comments:

Post a Comment