Tuesday, 19 March 2019

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine muda huu

Kutoka Ikulu: Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine muda huu


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Hassan Abeid Mwang'ombe kuwa PostaMasta Mkuu.

0 comments:

Post a Comment