Katibu Mkuu wa CUF, Khalifa Suleiman, amesema kuwa suala la mali za chama ni nini na nini ni jambo ambalo liko wazi hata msajili wa vyama anaorodha kamili ya mali za CUF, Hivyo amewataka wanachama kupuuza taarifa kuwa baadhi ya ofisi zilizokuwa zikitumiwa na CUF ni mali za watu binafsi.
0 comments:
Post a Comment