![]() |
| Malkia Elizabeth. wa Uingereza |
Mwanamme huyo wa umri wa miaka 41 alipatikana katika uwanja wa kasri hilo dakika saba baada ya ving'ora kuanza kulia siku ya Jumatano jioni.
Mshukiwa huyo ambaye hakuwa na silaha yoyote alikamatwa kwa kushukiwa kuingia eneo linalolindwa na sasa yuko kizuizini.








0 comments:
Post a Comment