Msemaji wa Serikali ya Nigeria
amesema msichana kutoka Chibok, aliyeokolewa hivi karibuni kutoka
mikononi mwa Wanamgambo wa Boko Haram, atakutana na Rais Muhammadu
Buhari na kupata msaada wa kuweza kuchangamana na jamii yake.
Taarifa zaidi kutoka nchini humo zimesema kuwa Msichana huyo Aliachiwa huru akiwa na mtoto mchanga, ambapo hili ni tukio la uokoaji la kwanza kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili..
Zaidi ya wasichana mia mbili walitekwa na kundi hilo la Boko haram mwezi April mwaka 2014,huku
Jeshi la Nigeria likisema tayari limeshamkamata mfuasi wa Boko Haram ambaye inasemakana na mume wa msichana huyo.
Hata hivyo Zaidi ya wasichana mia mbili walitekwa na kundi hilo la Boko haram mwezi April mwaka 2014.
Msemaji wa serikali ya Nigeria Garba Shehu akisema kuwa msichana huyo wa Chibok, aliyeokolewa hivi karibuni kutoka katika mikono Boko haramu atakutana na Rais Muhammadu Buhari na atapewa msaada na serikali ili aweze kurejea katika jamii.
Naye Aboku Gaji ambaye ni kiongozi wa kikundi cha wanamgambo ambaye alimuokoa binti huyo na kuiambia BBC juu ya namna familia yake ilivyompokea aliporudishwa nyumbani







0 comments:
Post a Comment