Saturday, 21 May 2016

MAZUNGUMZO YA AMANI YAANZA RASMI ARUSHA BAADA YA KUAHIRISHWA MARA KADHAA.

AMANI‬:Mazungumzo ya amani kuhusu Burundi yameanza mjini Arusha baada ya kuahirishwa mara kadha.
Hata hivyo, Serikali ya Burundi, na baadhi ya viongozi wa upinzani wamehudhuria mazungumzo hayo, ambapo mpatanishi ni rais Mstaafu wa awamu ya tatu nchini Tanzania Benjamin Mkapa.

0 comments:

Post a Comment