Saturday, 21 May 2016

KUMBUKUMBU‬:

‪‎

Tarehe kama ya leo Mei 21,1996 meli ya MV Bukoba ilipata ajali katika ziwa Victoria na idadi kubwa ya watu walipoteza maisha, Meli hiyo ilizama ikiwa imebakiza kilomita chache kutia nanga katika Bandari ya Jiji la Mwanza kutokea mkoani Kagera.
Ni miaka 20 imepita tangu tukio hilo litokee.

0 comments:

Post a Comment