Tuesday, 17 May 2016

GS1 TANZANIA YAANZISHA BAKERY FORUM YA KWANZA TANZANIA.

Semina ya bakery forum ya kwanza Tanzania ilifanyika jana katika ofisi za TIRDO, kukiwa na wadau kutoka CRDB, Chai bora, Pepsi, Dukani technologies, Royal oven bakery na Angel drinking water pamoja na watu wanaofanya biashara za bakery.
Mr.Pius Mikongoti alifungua semina kwa kuanza kuelezea umuhimu wa kutumia bar code kwa biashara za bakery.
gs1-2
gs1-4
Dr.Moshi akielezea TIRDO ina roles gani katika hizi biashara za bakery.
gs1-12
gs1-16
Kijana kutoka Dukani technologies akielezea ni vipi wanaweza kuwasaidia wanaoanza biashara zao na kuwasaidia kuzikuza zaidi.
gs1-18
Ms.Aristides kutoka TFDA akielezea usalama wa vyakula kama mikate, alielezea kuwa kuna process za kufuata ili kuhakikisha kuwa chakula unachosambaza ni salama.
gs1-21
Prisca kutoka TBS alielezea standards za bakery.
gs1-24
Kutoka TRA alielezea haki za walipa kodi na majukumu wanayotakiwa kuyafuata.
gs1-26
Mrldd kutoka Omary Packaging alielezea ni vipi packages zako zinavyotakiwa kuwa, package inapaswa kuwa na jina la bakery, tarehe iliyotengenezwa bidhaa na itakayo haribika, umetumia ingredients gani, barcode nk.
gs1-28
Kutoka Royal bakery alielezea products zao na success story yao.
gs1-29
Mr.Mwasamila wa maji ya Angels alipresent bidhaa anazozalisha na pia alielezea historia ya biashara hiyo.
gs1-30
Miss Awatif bushiri na mfanyakazi mwenzake walielezea kuhusu bidhaa zao za chai bora na kuwa kampuni ya chai bora sasa imeinunua Redgold.
gs1-31
gs1-34

gs1-35
Baadhi ya watu wakiuliza maswali kwa viongozi wa GS1 na kwa wadai wengine.
gs1-15 gs1-6
gs1-10
gs1-9
gs1-7
gs1-3

1 comment: