Tuesday, 17 May 2016

Tatizo la maji Namayuni

Wananchi wa kata ya Namayuni kijiji cha Nahama wilayani Kilwa mkoani Lindi wameendelea kutumia maji machafu kwa miongo kadhaa na baadhi yao kupoteza maisha kutokana na magonjwa ya mlipuko huku halmashauri ya wilaya hiyo ikikiri kutambua tatizo hilo.


0 comments:

Post a Comment