Friday, 8 March 2019

VIDEO:Ligi ya wanawake Bongo yashika namba 1 Afrika, Kizuguto afunguka

VIDEO: Ligi ya wanawake Bongo yashika namba 1 Afrika, Kizuguto afunguka



Afisa wa Dawati ligi ya Wanawake Baraka Kizuguto amefunguka ligi ya wanawake kutangazwa kushika namba moja Afrika kwa mujibu wa CAF. Pia Kizuguto ametaja ratiba za mechi za ligi hiyo ambazo zitaanza kuchezwa Jumamosi hii.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

0 comments:

Post a Comment