Friday, 8 March 2019

Mnyeti awacharukia wabunge wachochezi

 Mnyeti awacharukia wabunge wachochezi


Mkuu wa mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, amewataka wabunge na wananchi mkoani hapo kuziheshimu sheria na taratibu zilizowekwa ambapo pia amesisitiza kuwa yeye anafuata sheria hizo na sio kandamiza kama watu wanavyosema.

0 comments:

Post a Comment