VIDEO: Mjumbe CCM nusra atoe machozi KISA......!
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa Leyla Ngozi amefanya ziara ya kutembelea katika Shule ya Sekondari Mang'weta iliyopo kata ya Chamkoloma Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma ambapo amekiri kuhuzunishwa na changamoto zilizopo katika Shule hiyo ikiwa ni pamoja na ukosefu wa huduma ya maji,upungufu wa madarasa,maabara na kadhalika ambapo pia amesema kuwa anawashangaa baadhi ya watu wanaopiga kelele pindi viongozi wa chama hicho wanapotembelea mashuleni kutoa misaada
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE







0 comments:
Post a Comment