Friday, 8 March 2019

VIDEO: Kocha Amunike aweka wazi sababu ya kumuacha, Ajib, Banda na Tshabalala

VIDEO: Kocha Amunike aweka wazi sababu ya kumuacha, Ajib, Banda na Tshabalala


Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike amefunguka sababu ya kuwaacha baadhi ya wachezaji ambao mashabiki wengi walitarajia kuitwa kwenye kikosi hicho ambacho kitacheza na Uganda katika mchezo wa mwisho wa kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON mwaka huu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

0 comments:

Post a Comment