Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema kuwa Mkuu wa Mkoa si kuwa mchawi bali ni kwakujituma na kufanya kazi kwa bidii.
Chalamila amesema kuwa kwenye mafanikio unahitaji kujituma na kufanya kazi kwa bidii na sio kwa mambo ya kishirikina ili mwisho wa siku uwe na mafanikio.
"Mafanikio ya mtu hayaji kwa ushirikina ebu tafakari unapombaka mtoto wa miaka 8 ebu tafakari tumbo la mama aliyemzaa mtoto huyo atakuwa kwenye hali gani? Kuwa na maghorofa kama haya ni kujituma, naombeni tupinge sana masuala ya unyanyasaji wa watoto," alisema RC Chalamila.
Aidha RC huyo amesema kwa mafanikio hayaji kwa ushirikina na kuwabaka watoto wa dogo na kuwaaua.
Chalamila ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Matundasi huko Mkoa Mbeya
0 comments:
Post a Comment