Ligi Kuu Tanzania Soka Tanzania Bara (TP) kuendelea leo Jumanne katika dimba la Uhuru Dar es Salaam.
African Lyon baada ya kupoteza mchezo uliopita, leo watavaana na JKT Tanzania.
Hadi sasa African Lyon inashika mkia kwenye ligi hiyo yenye timu 20 ikiwa imejikusanyia Pointi 21, huku JKT Tanzania ikishika nafasi 9 ikiwa na alama 35 kibibindoni.
0 comments:
Post a Comment