Picha: Naibu Waziri, Ikupa agawa Tani moja na nusu ya saruji Kipawa
Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana, Ajira na Wenyeulemavu, Stella Ikupa amegawa Tani moja na nusu ya saruji kwa wakazi wa Kipawa na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM ambayo inataraji kufanyiwa ukarabati.
0 comments:
Post a Comment