Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebe tayari kuhudhuria mkutano wa Africa Now Summit 2019 unaofanyika mjini Kampala kuanzia tarehe 12 Machi, 2019.
0 comments:
Post a Comment