Media player

MOJA KWA MOJAMOJA KWA MOJA
Maswali mengi baada ya ajali ya ndege ya Ethiopian Airlines
Siku moja baada ya ajali ya ndege ya Ethiopian airlines kuanguka, sasa angazio ni kubaini chanzo cha ajali ya ndege hiyo chapa Boeing 737 Max ambayo ni ya tano ya aina ya ndege hiyo katika miezi mitano - na ikiwa ni ndege mpya






0 comments:
Post a Comment