Picha: DC Jokate Mwegelo alipotembelea kikosi Regiment 83
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ametembelea kikosi cha Regiment 83 kilichopo chini ya Kanali Mwakisole. Jokate pia alitembelea Zahanati ya 83 Rgt ambayo inahudumia wananchi takribani laki 4 kwa mwezi na kuahidi kutoa kitanda na vifaa vya kujifungulia.
0 comments:
Post a Comment