Thursday, 7 March 2019

BREAKING: Mbowe na Matiko waachiwa kwa dhamana

BREAKING: Mbowe na Matiko waachiwa kwa dhamana



Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko wameachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana katika Mahakama Kuu jijini Dar

Wakati huo Wabunge wawili wa Chadema Susan Kiwanga, Peter Lijualikali na wenzao saba wameachiwa kwa dhamana leo baada ya mahakama kutupilia mbali maombi ya Jamhuri ya kupinga dhamana ya washtakiwa hao.

0 comments:

Post a Comment