Wednesday, 18 May 2016

VideoMPYA: Kutokea 254, Alicios Theluji na Kidum wanatualika kuitazama ‘Pete’



Mrembo mwenye asili ya Kongo lakini makazi yake ni Kenya Alicious Theluji leo May 18 2016 anatualika kuitazama video yake mpya ‘Pete’ ambayo amemshirikisha Kidum, Mtu wangu usisahau kuniachia comment yako hapa wakali hao wataiona.


Tupia Comments

0 comments:

Post a Comment