Habib Mkamba ‘Sumaku’
KIONGOZI wa Wasanii wa
Vichekesho Tanzania, Habib Mkamba ‘Sumaku’ amesema kwamba kifo cha
msanii mwenzao, James Peter ‘Kinyambe’ kilichotokea hivi karibuni,
hakuna wa kuliziba pengo lake.
Marehemu Kinyambe
Akipiga stori na Ijumaa, Sumaku alisema Kinyambe alikuwa na staili yake ya kipekee katika uchekeshaji hivyo hakuna msanii anayeweza kuvaa viatu vyake.
“Mimi sijaona wa kuvaa viatu vya
Kinyambe, pengo lake itakuwa vigumu kuzibika maana yule alikuwa na
kastaili kake f’lani ka’ kuchekesha, ndiyo hivyo tena Mungu kamchukua,”
alisema Sumaku.






0 comments:
Post a Comment