Saturday, 21 May 2016

MASKINI MWANACHUO BENADETHA MSIGWA ANAOMBA MSAADA WA KUTIBIWA MACHO ILI AENDELEE NA MASOMO YAKE.


 Mwanafunzi Benadetha Msigwa amepata upofu akiwa chuo, hivyo anapmba msaada pesa ili akatibiwe macho na kuweza kurudi katika hali yake, inahitaji kama milion 30 kwa yeyote atakaeguswa anaweza tuma chochote kupitia namba hizo hapo kwenye hicho kipeperushi.

0 comments:

Post a Comment