Mapema leo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Hesabu za Serikali (CAG)Prof.Mussa Assad wakati akitoa ripoti yake alisema CHADEMA kilinunua gari aina ya Nissan Patrol kwa Dola 63,720 sawa na Sh147.76 milioni ambalo lilisajiliwa kwa jina la mwanachama badala ya bodi ya wadhamini ya chama hicho.
Sasa Chama hicho kupitia Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano, Tumaini Makene wametolea taarifa fupi hilo kwa kueleza kuwa;
Tumepata taarifa za kuwasilishwa kwa Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Fedha za Serikali (CAG) iliyowasilishwa kwa umma kupitia Vyombo vya Habari leo. Tutaizungumzia kwa ukamilifu wake kwa kutoa ufafanuzi na kauli ya chama juu ya ripoti hiyo baada ya kufanya uchambuzi wa kina kutokana na nakala za taarifa yenyewe.






0 comments:
Post a Comment