Viongozi wa Bodi ya Tanesco watinga Rukwa
dhibiti mifumo ya umeme wa TANESCO mkoa wa Rukwa, Halfan Seba (kulia), akitoa maelezo kuhusu uzalishaji na usambazaji wa nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa Bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na Makamu mwenyekiti wa bodi hiyo, Balozi James Nzagi, leo mara baada ya kutembelea kituo hicho kilichopo eneo la majengo mjini Sumbawanga.
0 comments:
Post a Comment