VIDEO: Part 1: Wananchi waharisha kwa Kunywa maji machafu
Wananchi wa jiji la Arusha Ikiwemo Kata ya Daraja Mbili wamelalamikia kuhusu maji machafu ambayo yamewasababishia wao kuharisha kutokana na kunywa maji machafu yaliochnganyika na Kinyesi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE