Rais wa TFF atuma salamu za rambirambi Kenya kufuatia ajali ya Boeing 737 MAX
Rais ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Kenya (FKF) na familia ya Hussein Swaleh aliyefariki katika ajali ya ndege hapo jana.
0 comments:
Post a Comment