Thursday, 7 March 2019

Nyumba 400 zanusurika kubomolewa

Nyumba 400 zanusurika kubomolewa


Serikali kupitia Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Wiliam Lukuvi imesitisha mpango wa halmashauri ya mji Babati wa kubomoa nyumba zaidi ya 400.

Waziri Lukuvi amesema serikali imetoa hekari 829 kwa wananchi waliokuwa wanaishi kwenye shamba la Singu lililokuwa chini ya kampuni ya Aldric Evolution.

0 comments:

Post a Comment