Friday, 15 March 2019

NEC wathibitisha Joshua Nassari (CHADEMA) kuvuliwa Ubunge

NEC wathibitisha Joshua Nassari (CHADEMA) kuvuliwa Ubunge

Tume ya Uchaguzi (NEC) imethibitisha kupokea barua kutoka kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai kuhusu kuvuliwa ubunge kwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.

0 comments:

Post a Comment