
Ethiopia Airlines: Msiba mara mbili kwa familia ya Abdulghani nchini Kenya
Ndege ya Ethiopia ilioanguka siku ya Jumapili ilmekuwa ni msiba mara mbili kwa familia hii nchini Kenya. Mohamed Ibrahim Abdulghani, kutoka Kibra Nairobi, alikuwa ndani ya ndege hiyo . Alikuwa ameomba muda wa mapumziko kazini Saudi Arabia kuja kumliwaza mkewe aliyefiliwa na kaka yake wiki iliyopita.






0 comments:
Post a Comment