Msanii
wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa msanii Alikiba
ni mtu wa kumuacha kutokana na uwezo wake wa kuimba na namna ambavyo
anaweza kuipangilia sauti yake kwenye muziki.
Wema
Sepetu amezidi kuonyesha mapenzi aliyonayo kwenye kazi za msanii
Alikiba na kusema huwa zinamkosha sana na kudai hajawahi kumuangusha
siku zote“Ila huyu bichwa wangu mimi ananikoshaga sana. Na mumuachage tu
kwakweli. Bichwa una sifa lakini maana si kwa Vocal hizi. Halafu mimi
siwezi kukubania namba bana. Naupenda sana huu wimbo jamani. Wajua
kutukunaga mashabiki wako. Good work Bichwa wangu Officialalikiba did it
again ladiez & Gentlemen” aliandika Wema SepetuMbali na hilo Wema
Sepetu amempa pongezi msanii Alikiba kwa kuweza kusaini mkataba chini ya
kampuni ya muziki ya ‘Sony Music’ na kusema kuwa alistahili hilo na
zaidi ya hilo kwani anakipaji kikubwa.
”
God Grants accordingly… Congrats Bichwa wangu for that Big Contract…
You deserve it & more… Time Heals all wounds… The Sky remains to be
the only Limit for u baba…”






0 comments:
Post a Comment