Ni kweli kwamba kuna wanawake wengine huwa hata wakichezewa au
kushikwashikwa kila mahali na mwanaume ili apate ashki ya kufanya tendo
la ndoa huwa ni kazi bure kwani hamu haimjii haraka au haimjii kabisa na
hata akiamua kufanya anafanya tuu ili kumridhisha mwenzake.
Japokuwa hisia za mwanamke zipo mbali mno lakini kama mwanaume
atamshikashika pande tofautitofauti za mwili wake na kumletea utundu wa
hapa na pale basi hisia huja na akajiskia ni mwenye kuhitaji tendo hilo
la kiutu uzima na akaweza ipasavyo.
Kama na wewe ni mmojawapo kati ya wahanga wa tatizo hilo nakushauri
tumia dawa hizi zenye kupatikana kiurahisi kabisa katika mazingira yetu
kwani ni zenye kusaidia kutibu kabisa matatizo ya kukosa hamu ya kufanya
mapenzi kwa wanawake kwa haraka zaidi.
MBEGU ZA FENESI
Mbegu za fenesi zinafahamika na kila mmoja,ni zile ambazo zinapatikana
ndani ya tunda la fenesi,kama mwanamke anapendelea kula tunda hizo
kuanzia kumi au zaidi kila baada ya siku 4 baada ya kuzichemsha na kuiva
vizuri basi hamu ya kufanya tendo la ndoa zitamzidia na atakuwa ni
mwenye kutamani kufanya mchezo huo kwa matamanio makubwa sana....hii ni
tiba nzuri kwa wanawake wenye tatizo hili.
UJI WA ULEZI
Wanawake wanashauriwa kunywa uji wa ulezi kila siku asubuhi kwani uji huu una uwezo wa kuamsha hisia za mapenzi
MUHOGO MBICHI
Imethibitishwa kwamaba kama muhogo mbichi kama utapendelewa kuliwa na
mwanamke kiasi cha vipande5 pia vina uwezo wa kuamsha hisia za mapenzi
au tendo la ndoa kwa wanawake.
KOROSHO
Nazo zinatajwa ni nzuri sana kwa kumuongezea mwanamke hamu ya kufanya tendo la ndoa akiwa ni mwenye kuzila mara kwa mara
0 comments:
Post a Comment