Rais wa kwanza wa
kike wa Taiwan, ameapishwa Ijumaa katika sherehe zitakazofanyika katika
mji mkuu wa Taipei. Tsai In-wen, ambaye chama chake kinataka uhuru
kutoka Uchina, alishinda na idadi kubwa ya kura katika uchaguzi
uliofanyika Februari mwaka huu na Ushindi wake umepunguza uhusiano wa
taifa hilo na utawala wa Beijing.
Taarifa za ndani zimesema kuwa, Tifa la China inadai kuwa Taiwan ni Mamlaka yake na kutokana na hatua ya sasa ya Taiwan na hata wakati wa Uchaguzi,China imeonekana kutokubalianana Taiwan.
Tsai anakabiliwa na changamoto za kiuchumi na kushuka kwa mapato yatokanayo na usafirishaji wa bidhaa nje
0 comments:
Post a Comment