Ndege hiyo ilizuiwa kama sehemu ya kesi iliyo mahakamani, iliyowasilishwa na aliyekuwa mfanyibiashara mwenza wa mfalme Mswati raia wa Singapore Shanmuga Rethenam, ambaye anasema kuwa anaudai ufalme wa Swaziland kima cha dola milioni nane.
Siku ya Jumatano msemaji wa serikali ya Swaziland Percy Simelane, alikana madai kuwa mfalme ana deni analodaiwa ambacho ndiyo kisa cah ndege hiyo kuzuiwa.







0 comments:
Post a Comment