Mbunge
wa CHADEMA, Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara (kushoto) akiwa ameongozana na
Mbunge mwenzie kuelekea ndani ya Bunge mjini Dodoma leo 21 Mei, 2016 kwa
ajili ya vikao vya asubuhi siku ya Jumamosi bungeni hapo.
Naibu
Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Eng. Mhe. Edwin
Amandus Ngonyani (kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri, Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Alphonce
Kolimba Bungeni Mjini Dodoma 21 Mei, 2016.
Naibu
Waziri, Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Eng. Ramo Matala Makani
(kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa, Mhe Selemani Saidi Jafo Bungeni mjini Dodoma 21
Mei, 2016.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu,
Mhe. Jenista Joackim Mhagama (kushoto), Waziri wa Viwanda, Biashara na
Uwekezaji, Mhe. Charles John Mwijage (katikati) pamoja na Naibu Waziri,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan
Alphonce Kolimba wakiteta jambo leo Bungeni Mjini Dodoma 21 Mei, 2016.
0 comments:
Post a Comment