na Kuua Mtoto Dar
Basi la mwendo kasi ( DART) jana majira
ya jioni lilimgonga na kumuua mtoto anayekafiliwa kuwa na umri wa miaka
mitano huku mama yake akinusurika baada ya dereva wa pikipiki waliyokuwa
wamepanda kushindwa kulipita basi hilo.
Ajali hiyo imetoke leo katika makutano ya barabara eneo la mataa ya kuongozea magari Shekilango jijini Dar es Salaam.






0 comments:
Post a Comment